Timo na Ngori Za Mtaa- Sheng series imechorwa na Mwas Mahugu
Kayole - town ilikua imetulia sana
especially ka ulikua umetoka the other side of the town,kaa ungetaka
ku-rejuvinate mind,kupata ile inner calm yak u-enjoy nature,basi hii ingekua
your perfect escape,ni vile tuu sometimes kulikua frequent gun exchange ya
mabang'a na madingo,hizi streets exchange zilikua fun kwa watoto wa primo,since
chuo zikifungungwa walikua na version tofauti ya “Godi sinya”walikua wana make
gun za wire,na rubber bands,na whole day ilikua ni cat and mouse kwa alleys za
k-town,naughty boys sometimes wange shoot buttocks za wamatha,games zilikua mob
taya,bano,cattie,
Watoi machokosh ndio tuu walikua washajua hustle before,wali spend the whole day waki collect carton peppers,plastic,machupa,na ma-srcap metal..sometimes watoi wa estate wange simamisha game zao za guns za wire,na ku scream in unison “”chokora mapipa chokora mapipa”na immediately tu-wars tulikua tunaanza,wakishoot.but ma chokosh walikua wana give up juu always walikua-anga super dupa high na chupa ya glue,lower lip ilikua ina suspend na kushikilia hii,hata mbio gani! hainge fall.
Street za kuingia k-town zilikua za nguvu, artificial flowers za miscellaneous colors,zimepangwa all over na design ya abstract na ma provided na officio department ya garbage collection ,hawa wasee walikua wame advice raiya kumwaga soil kwa hizi roadii za mtaa ili kufunika lami,solar ikiwa hot lami ilikua inachoma watoi miguu waki-ride ma-tyres,hii issue ilikua inaleta ma-parent juu:reason being after mtoi ku-burn na lami alikua anarudi home na statement kaa hizi zilikua za kawaida””aaahhh woishe Mama nivae viatu za shule leo pekee?”nimechomeka sana.

‘’’NGRRRRi krriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing, bell ilimalaizia
Watoi wali-ignore bell na kundelea kucheza ball ya ma-paper,ilikua ni break time ya afternoon,kitu 4pm,middle classes zilikua zisha go home,na maboi walikua wana jibamba,Moodee yani alitokea from no where!
“Hey boys it is time to go home,play time is over go home.teacher alli-annouce loudly
Timo ana grab ball speed speedie na bila ku-respond anatoka teke teke akifuatwa na ma-boys wengine.
Teacher naye aka- head back kwa classes,kayole town primary school,imejengwa poa,concrete walls na roofing ya grey asbestos, ilikua chuo ya nguvu.
After dakika kadhaa Timo wali slow down after kupenya kwa mtaa,walikua wana hema sana juu bag heavy ya books nyuma ya mgongo .
Timo:Manze jo mo-dee amekatisia game mbaya
Beste: Timo manze nilikupiga chobo!! Ha ha ha
Timo :na na nani? Nani? Sura ka chobo!! Ha ha
Beste: umenza mchongoano?
Beste 2:kaende kaende mimi ndio refa,boi mwingine wa tatu alichangia
Soon walisimama na ku form a circle na mchongoano ikaanza.
Sky
ilikua radiant ,miale the solar zilikua zinaptia hii mtaa golden rusty color ya
nguvu,ka sun sun set kalikua ka na take cover ,wasee wa kupika mandazi ,
walikua wanarudi bizness round two!baada ya kuamkia biashara
ngware,fishmongers,mutura ,supu,nyam chom round ya kwanza, waki expect booming
business ,wasee wakitoka job,na watoi wakirudi home kutoka chuo,jamaa wa ice
cream alikua busy whole day,na solar ilikua ina mshow time yake ya kufunga biz
ilikua isha fika,alikua ana chezea ma injury time ,idhaa ilikua ni ma five.
Msee wa kuuza miwa alipita, na Baba Timo aka mwita,
“tukatie na utu chongee ya 20 bob”na ugawanyishe mara mbili,baba Timo ali show Msee wa miwa.
Baba Timo.: rafiki mambo yamekua magumu, (alisema huku aki clear throat)
Jirani:Si kwako tuu,ni kila pahali,ni kawaida ya maisha
Baba Timo:hata siamini ni huyu motto wangu <
Jirani: amefanya nini tena?
Baba Timo :ana bidiiii sana shuleni,tabia nzuri naomba mola nihakikishe amefika chuo kikuu rafiki!
Trader wa kuuza miwa ana maliza
kuchonga miwa na ana pass kwa Baba Timo na rafiki yake,but wote wanapatwa na
surprise ,
“Hata mimi na taka miwa baba,Timo anadai huku amebeba bag na paper bag kwa mkono.
Baba Timo:haya mchongee ya 10 bob anamwambia msee wa miwa,hukua akimgeukia mtoi wake Timo
“umetoka wapi?usiniambie tena pia umeokaota okota hivyo vyuma?aaaha?
Timo:mbuyu unajua tumesota,mee nita uuza hizi tupate za chakula ,na wewe ulipe karo
Baba Timo(defeated)basi ingia ndani wenzako wako ndani
Aha ha ha jirani anacheka kidogo “watoto wa siku hizi!
Baba Timo :wamuona weekend zote hushinda akiokota hivyo vyuma juu hakuna shule
Jirani:atakua mtu wa heshima kwa jamii,sio kama hawa!una waona,:

jirani ana-point jamaa wawili
wanapita street wakistagger, “wamesomeshwa halafu baada ya hiyo bidii yote na
pesa matokeo ndiyo haya”!
Baba Timo:muone hata hana haya ana kojoa hadharani!
Drunkard wa pili pia ana move kwa wall na pia kunyoraa,without giving a damn.
Baba Timo:muone hata hana haya ana kojoa hadharani!
Drunkard wa pili pia ana move kwa wall na pia kunyoraa,without giving a damn.
Crow ikoo juu ya green street light
ime spoil,malibou stock ziko juu ya mitii mbili za acacia zilio kwa hii
street,na pia kuna moja ina hop hapa na pale,ina limp.next na non approved refuse pit next kwa stage,
ma bachelor na wasee wakurauka
ngware ndio chanzo ya pile ya
garbage kwa hii street , hao huanza one
paper bag ,siku ya pili two,na soon ,kila mtu wakurauka job early ana follow na
uchafu yake na soon after,uchafu kupile up.
Timo anascavange for scrap metals na ma-plastic,kwa hii dump pit,anavunja upande wa kushoto na achecki original street Boy aki approach,kwa kawaida machokosh wa mtaa huita boy ka Timo mbagishon ,slogan ya chokosh msafi
Street boy 1,tulikwambia hii si job ya wasee wako chuooo,weee ruudii shuuule!
Street boy2:first leta hii zii .
Street boy anamnyang’anya Timo collection yake,huku Timo aki-refuse
Aaaaaaaaachilia chokosh wapilia anadai huku aki mshika kidevu,Timo ana-fall,na machokosh wanatoka teke teke.
After sometimes, bongau ama kama
hushiki malibou stock ina shonde kwa face ya Timo ,na hako ka baridi kana
mrudisha kwa consciousness yake,ana walk home mdogo mdogo,huku aki breed kwa
lips kiasi,
Bell ya msee wakuza maziwa ya brookside,inamrudisha kwa flash back,hio incident ili-happen akiwa eleven years,3 years ago,na sasa alikua fourteen years na candindate,Timo alikua ame lean kwa wall behind class eight classes,
On the front side,ni celebration,pupils washikilia exams pads na geometicals sets,hewa imejaa happy voices na murmurs,jumping up and down,hugs na kisses,wote wana celebrate Kumaaliza Kenya certificate of primary education(KCPE)exams
Timo ana-wajoin lakini amevaa sura ya kazi
Pupil:checkini huyu msee(all attentions kwa Timo as murmurs zina die)
Pupil 2:sura ya kazi ya nini?shida ya nini?
Pupil mwingine anatokelezea na teje boom box ya nguvu huku ame beba kwa shoulder,attention ina leave Timo
Boi:Ha ha ha Njoro umechukua teje ya home kwenu?kichwa yako mbaya!
Njoro: hei hei msee wangu kua mpole nina ma- mix mwenda after all exams zimekatika

Ana switch on teje “ a big
tuuuunnnee,… a horn blast, DJ bunduki on the mix!”the rough and toughest this
is followed by a raggaa riddim,and everyone is dancing.inabidi madame wainue
skirt kidogo hadi kwa knees ndio waweze kuziondoka,na kila boi alishikilia
manzi kutoka nyuma.
The same Dj mixx inaendelea kuchuna
kwa Matatu,raia ni wengine ,horns za magari kila pahali,makarao,ma-hawker,
mabroker,ma-hustla ,ma-sonko,Timo anauza njugu.
“nani mwingine?nani mwingine?
Mara msee anamvuta kutoka nyuma!raia ni ku-stare tuu kawaida ya Kayole
Stranger: we fala nani alikua mbia unaweza uzia njugu hapa?ana uliza kwa ukali
Timo:ati nini kaa huna doe ishia!Timo anajibu kwa ukali
Stranger ana –move next na Timo kumushika mashati na kumkaribia kwa face,pia boi mwingine ana join na soon Timo ako surrounded na rende ,msee mmoja anachukua njugu tano,
Na ku-point Timo “wee fala na uchunge line zetu
Timo:fala ni wewe na ulete doe ya njuguu,tusi zoeane sitaki ngori
Mara ngumi heavy ina mpata Timo,ikifuatiliwa na ingine kwa kahasho,Njugu zina fly kwa hewa na Timo hajui kaa anaona njugu ama ma stars! noomaa.jo