Kulture lab(sheng languange)
“networks”
For centuries kibao, pyramid
structure ilikua the only way ,tuli ji-organize,na kuji-manage .From chiefs
hadi family level,imekua pyramid.
Power na communications zimekua ziki flow in an orderly
manner,from pyramid juu,hadi chini ya
base,kutoka kwa high priest,jemedari,C.E.O wa
akiwa ameshikilia kila tip,hii system ina flow hadi kwa ma-lieutenats na
ma-departmental managers wakiwa clustered kwa middle,wasee wajob,ma-foot
soldiers na ma-true beliver wakishikilia mkia.
Pyramid structure
ime-sifiwa na ma-time zingine ikipewa
blames,jina system na rebellion ni common kwa hii dunia,but hakuna msee alikua ana offer
any other way poa ,but this time round now system ingine
ime-take over:networking.network ni wasee waki-doo job pamoja,ku-share
ideas,info, na resources.
Network hu-excist wasee kujengana,ku-exchange info,na pia
ku-change society.ku-improve productivity na kwa life ku-share resources, hu
provide communication na interaction.
Ma-thao za network ziko all over,labda hata ma mita
kadhaa,na sisi tuna-belong kwa hizi chowms,kitu ya maana sana nivile ukitaka
kupata info.kwa network unaipata speedie sana,ina tu save time ya ku –enda kwa library
na Sir jah forbid kwa gava!through network ni easy sana kupata msee yeyote kwa dunia,ukipiga simu kaa kumi
hivi!Kamau anajua Otty,Otty anajua mwende,mwende anajua fatuma na kadhalika.
Kushare ma-contacts na info ndio point ya maana,but network
hu -go further sio ku-transfer data pekee but pia jo ku-create na ku-exchange knowledge. kila msee kwa network humeza info halafu ana digest na ku-produce ingine.so
network ina share ma ideas kibao.
Network imebomoa ma-bureaucracies mob kwa organizations na
Gava pia.Nazo hu tokea time wasee wana
taka ku-change society,community.bila kujali the cause,goals ama beliefs za movement ,anytime
wasee wana ji-organize ku-change some aspect za society. A non bureaucratic ,na
efficient organization structure hu-emerge,san asana huwa ni ile jeshi
imelengwa na mainstream, ama wame choka na system flani yak u-doo vitu ,so
wasee hutafuta wasee wengine wan-share same goals na networks huzaliwa
hapo.
Tukitumia mfano maumau ilikua network ya freedom fighters
pia kuna network za madingo!na pia ma-saint,ma-nun,wanabiz.na kadhalika ,ile
kitu ya maana ni eti kwa Network kila msee huwa kwa center ya action.network ni
future,na ni cooperative power, saa hii
ndio ina drive economy zile zina shine kwa hii century. Hii time,kila mtu ana
own na ni part. Na ana part yake
anacheza na freedom.na sio kama vile
watu watatu wana own kampuni..na elfu kumi wana wafanyia kazi.hiyo no
Bombo klat.
By mwas mahugu
No comments:
Post a Comment