Total Pageviews

Monday 4 September 2017

The sacred writings of Kennet B

The sacred writings of Kennet B

Aliwish angejibaia zile macapsule huongeza libido. Huo ni wakati Awino alimkunja ka kipino, akimsukuma na full force ya kisigino, baada ya kujipiga jeki na pillow.
Mshe hakuconsider eti raia baado alikuwa na dude mbilikimo, because it's even him who bought her njugu na tarino, akidhani eti anatune dame simple. Kijanaa hakuwa amefikisha umri wa kucheza michezo ka hizo, lakini mkia ilimpeleka mbio akaamua kuonja chililo.
Kuna matime ni lazima tu tunawe hata ka tunaenda kumanga na kijiko. Lakini ni masikitiko, jamaa hakuona uzito wa wisdom kwa mapunchline ka hizo. Madam kumwambia, "Kama mko likizo si tunaweza enda ujue mahali mi hupoa Maringo", Kijanaa aliitikia bila kuconsider eti hepi bila kipimo, huacha viungo na vitisho. Aliamua kuwa mzigo juu ya ule hakuwa anasikia uzito.
Kweli raha isipomangwa kwa kipimo huwa ni rahisi sana mno raia afe kwenya pinhole. Camera digital, simu inamaringtone kali ka zile za Kingstone, which can also download mafree pon ka iphone, alibaiwa kumlure into the mission na ni ukweli alijitupa kwenye killzone bila kuconsider the reason behind death ya mamillion. The year 2030 haikuwa imemline up kwa vision.
Meaning ya red ribbon alidis, akisema hangeweza vaa bed-giddeon, because the lady alikuwa chrome in his opinion, oblivion. Ka ni dish alipewa, na pia akapewa, kulewa ikapata share, halafu akakataa kuwear, the elastic layer, over the owner of his underwear. Maisha ya hardware was at risk, because Karsparskys was nowhere to be found in the software.
  Hakuspare, alidare kutraverse Aberdere vibare, halafu akaanzaza kuchange gear. Madam alimencourage aiaccess tu na rare, for there, alikuwa sure angepokea her share bila any kupotea. Kama ni mimi singenyemelea. Kijanaa kusongea, miguu zilimpokea kwa hewa, mikono zilkimlead into the chamber, and indeed alienter, na akapotea ndani ya mimea, before aanze kutetemeka.
To be continued……………………………

The sacred writings of Kennet B

No comments:

Post a Comment