Total Pageviews

Monday, 4 September 2017

Ushaskia-by mwas mahugu

Ushaskia-by mwas mahugu


Before uamue kubuy-tiplo place yoyote ,Msee  Mjanja ni kutafuta Laywer dio afanye  research,hii mwaka  kajanuari wakati kasolar kalikua kamewaaka ile mbaya,sides za Kitengela raia ilishikana mashati ile mbaya,prime plot ilikua kwa highway  ilikua imeunzia mtu saba na kila msee alikua na ma-paper zote original ,so kila mtu alikua anadai Kashamba ni kake,kila wiki each buyer alikua anacome na jeshi yake,wengi waliganda,usitake kuona,buyer mmoja amecome na ma-boy wa mtaa jicho nyanya,buyer mwingine alipitia kwa chief na akapewa ma-AP,Buyer  wa tatu alipitia kwa utumishi kwa wote na kupewa Mba’nga watano,Buyer wa  nne alikua ame-come na ukoo yao yote,Lakini story ni buyer watano alikua mmatha yeye aliokota mchokosh wote wa Kitee’akawalisha freshi,na kukuja nao wakiwa wamebeba tupaper twa blak,buyer wasita man alikua    Pastor  flani wa church so alicome na congregation yote juu walikua washabuy hiii land wa-build heaven shuttle Church-usitake  kujua zilee vituko na  war zilikua hii area,mambo ilikua disaster,shingo zilienda.so umeskia ka radar 

No comments:

Post a Comment